USIWASIKILIZE WATU, MANENO YAO SIO YA KUSIKILIZA KABISA.
Wao wamesha sema, je? Wewe unasemaje?
1,kuna watu kilasiku wana sema hauwezi kufanya mambo makubwa na kusonga mbele kwa sababu furani. Aliwaambia wao sio kitu. Bosi aliwaambia hawawezi chochote. Mzazi au rafiki amewaambia hawata fika mbali. Kuna kiongozi amewa tamkia hawana maana. Je? Wewe unajiambiaje? Usisahau kuwa dunia yetu imejaa watu WALIO KATA TAMAA KIMAISHA. Na wao nimahodari sana kuvunja mioyo ya watu wengine. Hawa watu hata Leo hii bado wapo. Pia uta kutana nao. Na nia yao kuu ni kuuwa mbegu yako uliyo kuwa nayo ndani yako.
Ukiruhusu maneno yao amini hauta fanikiwa
Kila aliye fanikiwa alijitoa na hakujalibu kuwa sikiliza watu. Jambo kufanikiwa ni maamuzi yako wenyewe. Maana hakuna aliye(special) special nimipango uliyonayo pamoja na maamuzi ya utekelezaji.
Ukitaka kujua WATU hodari walifanya mambo kulinga na mitazamo yao ila sio mitazamo ya kila mtu... Ishi na ndoto yako utafanikiwa ktk maisha.
Badala ya kila siku kuendelea kulalamika. jinsi wengine walivyo sema
Hauwezi hauta fika mbal,Wewe sio kitu n,k anza kujiuliza Wewe mwenyewe umejiambia kitu gani? Au umekubaliana nao?
Kumbuka wengine wao ambao watakuwa wanakuambia nameno haya. Ukiwa angalia utakuta wenyewe hawaja Fanya jambo kubwa lolote. ni ule wivu Wa kuogopa kuwa utafanya kitu na kung'ara ktk maisha ndio unao wa sumbua.
Ujumbe. panga lengo simamia mwenyewe.
Bila kusikiliza mtu amini akili zako zinatosha zaidi jifunze kwa walio fanikiwa.
Pia wajue wasio fanikiwa wanateseka vipi?
By. Adam Kayombo
You tube
Facebook
Instagram
Sim 0717497666

Maoni
Chapisha Maoni