UGUMU WA MAISHA SIO KIFO Usijiandae kubisha ila amini hivyo. Ugumu Wa maisha sio kifo ni kwa sababu ifuatayo. Mwaka 1, una miezi kumi na 12. Katika hii miezi (12)baadhi ya miezi kwako itakuwa ya mtelemko, kila unacho Fanya kina timia bila ya changamoto.ukitaka pesa una pata, kazi unapata ukitaka kujenga nyumba unajenga. Hii ni mwendo Wa mtelemko tu. Utafurahi sana, utajisifu utajigamba, utajiona Wewe ndio kila kitu kuliko wenzako. Hata mungu una msahau kabisa. Majira ya Kiangazi: upepo mkali, vumbi kila mahali. miti,majani hupukutika kabisa. Na kuonekana jangwa. Hivi nivipindi ambavyo nawe unapitia. Njaa, huna pesa, huna kodi ya nyumba, huna ada ya shule,kila kitu kwako hakitimii kabisa.sio peke yako ( tambua uko nyakati za Kiangazi.) Ugumu Wa maisha: nikipindi cha maandalizi ya kuja kipindi chepesi. Maana hata mitume wote wamepitia. Ukiona Njaa : ujue shibe ina fuata. Ukiona huna pesa: ujue kipindi cha kupata pesa kinafuata. -----hu...
Nipo morogoro nataka kwenda msoma napitia wapi
JibuFuta