Ruka hadi kwenye maudhui makuu
WAJUE MATAPELI KATIKA MAFANIKIO          YAKO.

WAJUE MATAPELI WANA JULIKANA KAMA NDUGU WA DAMU.Wapole,huruma mdomoni,mipango mingi,ahadi za kutosha pasipo ukweli wowote ule.  Soma hu ujumbe ndipo jiongeze.

1, MASOMO;  ujue kwamba Mimi ni ndugu yako. Niko pamaja nawe siko zote, kuhusu masomo Nita kusomesha ada nitalipa,
( UTA SIKIA ) ILA KWA SASA NIPE MUDA KIDOGO IKIFIKA MUDA NITAKUPA PESA. WEWE UNASEMA ASANTE.ila kwa sasa nifanyie KAZI yangu. Sawa, una jibu Sawa. utahesabu muda mwisho ubaya utaitwa majina yote mabaya. Hapo masomo ujue hakuna. Je? Sio MATAPELI?

2,NJOO MJINI  nitakutafutia kazi  KUMBE KWAKE MIAKA YOTE. Utafanya kazi zote mpaka kupika malipo kula, hawaangalii kuwa unamiaka mingapi utasemwe sana. WAKORONI BADO WAPO. TAMBUA UNATUMIKA KAMA MTUMWA PASIPO MALIPO HATA 100/=  
JIAMINI: tafuta kazi mwenyewe pasipo kutafutiwa. Tambua ya kwamba ukipata kazi utasemwa sana.kuwa kazi tumesha kutafutia kumbe sio kweli. (Self decision) kuwa na (maamuzi binafsi)ina kusaidia.

3, SUCCESS.(MAFANIKIO) UTAYAPATA UKIJIAMINI.  NDUGU WANAPO KUSEMA SANA MAANA YAKE WAKU KATISHE TAMAA ILI USIJE UKA JIAMINI KUWA UTAFANIKIWA.   MIMI NANI NIMEPITIA SASA NINA KUFUNDISHA SABABU NIMESHINDA. (Usikose ujumbe kuwa umejifunza nini? Asante.

Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

               MAISHA   TEGEMEZI. 1, MAISHA TEGEMEZI NI MFANO WA MAISHA YA KIVIVU. YAANI UNATEGEMEA MTU FURANI. ALICHO KUWA NACHO (AKU SAIDIE )  MTEGEMEA NDUGU   HUFA U NGALI,  ________AU _____. 2, PESA ZINA PATIKANA PESA ZINA PATIKANA KWA MWENYE BIDII MITHALI;10.4 
UGUMU WA MAISHA SIO KIFO Usijiandae kubisha ila amini hivyo. Ugumu Wa maisha sio kifo ni kwa sababu ifuatayo. Mwaka 1, una miezi kumi na 12. Katika hii miezi  (12)baadhi ya miezi kwako itakuwa ya mtelemko, kila unacho Fanya kina timia bila ya changamoto.ukitaka  pesa una pata,  kazi  unapata ukitaka kujenga nyumba unajenga. Hii ni mwendo Wa mtelemko tu. Utafurahi sana, utajisifu utajigamba, utajiona Wewe ndio kila kitu kuliko wenzako. Hata mungu una msahau kabisa. Majira ya Kiangazi: upepo mkali, vumbi kila mahali. miti,majani hupukutika kabisa. Na kuonekana jangwa. Hivi nivipindi ambavyo nawe unapitia. Njaa, huna pesa, huna kodi ya nyumba, huna ada ya shule,kila kitu kwako hakitimii kabisa.sio peke yako ( tambua uko nyakati za Kiangazi.) Ugumu Wa maisha:   nikipindi cha maandalizi ya kuja kipindi chepesi. Maana hata mitume wote wamepitia. Ukiona   Njaa : ujue shibe ina fuata. Ukiona huna pesa: ujue kipindi cha kupata pesa kinafuata. -----hu...