WAJUE MATAPELI KATIKA MAFANIKIO YAKO.
WAJUE MATAPELI WANA JULIKANA KAMA NDUGU WA DAMU.Wapole,huruma mdomoni,mipango mingi,ahadi za kutosha pasipo ukweli wowote ule. Soma hu ujumbe ndipo jiongeze.
1, MASOMO; ujue kwamba Mimi ni ndugu yako. Niko pamaja nawe siko zote, kuhusu masomo Nita kusomesha ada nitalipa,
( UTA SIKIA ) ILA KWA SASA NIPE MUDA KIDOGO IKIFIKA MUDA NITAKUPA PESA. WEWE UNASEMA ASANTE.ila kwa sasa nifanyie KAZI yangu. Sawa, una jibu Sawa. utahesabu muda mwisho ubaya utaitwa majina yote mabaya. Hapo masomo ujue hakuna. Je? Sio MATAPELI?
2,NJOO MJINI nitakutafutia kazi KUMBE KWAKE MIAKA YOTE. Utafanya kazi zote mpaka kupika malipo kula, hawaangalii kuwa unamiaka mingapi utasemwe sana. WAKORONI BADO WAPO. TAMBUA UNATUMIKA KAMA MTUMWA PASIPO MALIPO HATA 100/=
JIAMINI: tafuta kazi mwenyewe pasipo kutafutiwa. Tambua ya kwamba ukipata kazi utasemwa sana.kuwa kazi tumesha kutafutia kumbe sio kweli. (Self decision) kuwa na (maamuzi binafsi)ina kusaidia.
3, SUCCESS.(MAFANIKIO) UTAYAPATA UKIJIAMINI. NDUGU WANAPO KUSEMA SANA MAANA YAKE WAKU KATISHE TAMAA ILI USIJE UKA JIAMINI KUWA UTAFANIKIWA. MIMI NANI NIMEPITIA SASA NINA KUFUNDISHA SABABU NIMESHINDA. (Usikose ujumbe kuwa umejifunza nini? Asante.

Hawa watu ni wanyonyaji sana.
JibuFuta